KUSUDI LA MUNGU KWAKO
UTANGULIZI
- Mungu alimuumba mwanadamu akiwa na kusudi maalumu kwa kila mwanadamu MHUBIRI 3:1
- Mwanadamu kwa kutotambua kusudi la Mungu anajitenga na mpango kambambe wa serikali ya mbinguni YEREMIA 29:11
- Mambo yafuatayo yanadhihirisha makusudi mema ya Mungu kwako
- UZIMA, KUPITIA MATESO NA MAUTI YA KRISTO YESU PALE MSALABANI
- Mateso ya Yesu mwana wa Mungu yameleta ukombozi kwetu kwa kututentga na mauti, hivi sasa maui haina nguvu juu yet u kwa sababu ya mteso hayo 2 PETRO 2:24
- Hata hivyo kusudi la Yesu la uzima linadhihirishwa na ujio wa Yesu hapa duniani (YOHANA 3:16)
2. MSAMAHA WA DHAMBI
- Hakuna mchungaji, Askofu, mwinjilisti, padre au mtu teyote awezaye kusamehe dhambi isipokuwa Yesu kristo pekee yake
- kuokoka kunaambatana na msamaha wa dhambi.msamaha huu ni zawadi ya pekee ambayo hutaufanya kumrudia Mungu na kuishi kwa kusudi lake WARUMI 10:9-10
- Katika andiko hilo tunaona mtu aweza kuoka ka njia mbili tu ambazo ni;
a. kukiri (kutubu/TOBA)
b. kuamini, mambo haya tutayajadiri katika vipindi vinvyofuata katika blog hii.
3. KUTUFUNGUA KWENYE VIFUNGO VYA MAPEPO(UKOMBOZI)
- Yesdu aliwapa mamlaka wanfunzi wake juu ya epo wachafu, Hii inatudhihirishia kuwa MUngu hapendi tuteske ama kuteswa na mapepo bali ahitaji tuwe huru (MARKO 16:15-18;MATHAYO 12:30)
MUNGU AKUBARIKI SANA TUTAENDELEA SOMO HILI KATIKA KIPINDI KIJACHO.
No comments:
Post a Comment